Afrika katika picha: Matukio makuu ya 2017 | Mada zote | DW | 27.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Afrika katika picha: Matukio makuu ya 2017

Marais wa muda mrefu wa Zimbabwe na Gambia waliondolewa mamlakani; ghasia za baada ya uchaguzi Kenya na Liberia; mashambulizi ya kigaidi Somalia na Nigeria. DW inaangazia matukio muhimu yaliyogonga vichwa vya habari 2017