1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.09,2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

23 Septemba 2020

Waendesha mashtaka nchini Angola wamemtia mbaroni mfanyabiashara ambae anatajwa kuwa mtu wa karibu na rais wa zamani wa taifa hilo Jose Eduardo dos Santos kutokana na tuhuma za ruswa, akizongwa na ufisadi mkubwa ambao umefanyika katika utawala uliopita.

https://p.dw.com/p/3irjI