Marekani kasema imekamata meli ya mizigo ya Iran +++Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV (Wa 14) ametoa wito wa kugawanywa kwa haki maliasili za barani Afrika+++DRC- Mapambano makali yameripotiwa tangu jumamosi hadi leo asubuhi katika baadhi ya vijiji vya nyanda za juu za wilaya ya Fizi+++Kenya- IEBC imewasilisha mapendekezo kadhaa ya mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027