1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.02.2026: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

17 Februari 2026

Iran na Marekani kukutana siku ya Jumanne mjini Geneva kwa mazungumzo. Zelensky atahadharisha kuwa Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi zaidi. Watu 28 wauawa kufuatia shambulio katika soko huko Kordofan nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/58sTs