1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.04.2021 - Matangazo ya Jioni

10 Aprili 2021

Jeshi la Uingereza leo limefyetua mizinga 41 ya heshima kumkumbuka Mwanamfalme Phillip aliyefari jana. Mapambano ya kuwania jimbo lenye utajiri wa mafuta nchini Yemen yamesababisha mauaji ya zaidi ya watu 50. Tetemeko la ardhi limeipiga Indonesia na kusababisha vifo vya watu 6.

https://p.dw.com/p/3rpEL