1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.02.2019: Matangazo ya Mchana

10 Februari 2019

Mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika kuanza hii leo, mjini Addis Ababa, Korea Kusini yasaini makubaliano ya kuongeza mchango wake wa kuvigharamia vikosi vya Marekani vilivyoko pwani ya Korea na Ujerumani yazidi kubanwa kuhusu mchango wake kwenye Jumuiya ya Kujihami ya NATO. Utasikia pia yaliyogonga vichw avya habari barani Afrika, kwenye Afrika Wiki Hii. Ungana nasi.

https://p.dw.com/p/3D55h