Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Abbas Araghchi ameituhumu Marekani kwa kuhujumu juhudi za kufikia suluhu+++Wakati hali ya usalama bado ni dhaifu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na mvutano umeibuka kuhusu jitihada ya rais Felix Tsisekedi kubadili katiba ya nchi hiyo+++Serikali ya Mali imetupilia mbali wazo la kuzungumza na makundi iliyoyataja kuwa ya kigaidi.