umetimia mwaka mmoja tangu Kardinali Robert Prevost (Papa Leo XIV) achaguliwe kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani+++Mzozo wa Marekani na Israel dhidi ya Iran unazidi kutanuka wakati ambapo Mlango bahari wa Hormuz, ambayo ni njia muhimu ya kupitishia asilimia 20 ya mafuta ya dunia, ikiendelea kufungwa