Deutsche Welle: Niger yaomba msaada wa euro milioni tatu kuweza kuiandaa timu yake ya taifa kushiriki kwa mara ya kwanza katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Wanajeshi wa Urusi wameingia kwenye kambi ya jeshi la anga inayokaliwa na wanajeshi wa Marekani, haya yanajiri baada ya serikali ya kijeshi ya Niger kuamua kuwatimua wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Wanajeshi sita wa jeshi la Nigeria wameuawa na watu waliojihami kwa silaha wakati wakifanya doria katika jimbo la kaskazini la Niger siku ya ijumaa.
Mamia ya watu wameandamana ili kupinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani nchini Niger, huku ujumbe kutoka Washington ukitarajiwa kuwasili nchini humo siku chache zijazo.