Barcelona yaizaba timu ya daraja la tatu Hospitalet mabao 9-0 katika mchezo wa kombe la ligi Copa del Rey
Timu ya jeshi la Rwanda APR FC imetupwa nje baada ya kunyeshewa mvua ya magoli na Club ya Pyramid ya Misri magoli 6-1 jijini Cairo katika kinyang'anyiro cha kusaka tikiti ya kufuza makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.