1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe yaanza kuendesha mashauri kwa njia ya mtandao

13 Aprili 2022

Janga la Corona lilichangia kwa Mahakama za Zimbabwe kuzorota katika uendeshaji wa mashauri, mlundikano wa watuhumiwa katika magereza na vituo vya polisi ulishuhudiwa zaidi ya maradufu. Mradi huu ambao ni ufadhili wa Umoja wa Mataifa utasaidia kurahisisha na kuharakisha mashauri mengi.

https://p.dw.com/p/49uVm