Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Zimbabwe

Zimbabwe ni taifa lililozungukwa na nchi kavu kusini mwa Afrika, katikati mwa mito ya zambezi na Limpopo.Inapakana na Afrika Kusini, Zambia, Botswana na Msumbiji. Mji mkuu wake ni Harare.

Tangu karne ya 11, Zimbabwe ya sasa imekuwa eneo la mataifa kadhaa na falme zilizojipanga vizuri, na pia njia muhimu ya uhamiaji na biashara. Nchi hiyo yenye wakaazi wapatao milioni 13 wa makabila tofauti inazungumza lugha 16, ambapo lugha za kiingereza, Shona, Ndebele ndiyo zinazozungumuzwa kwa kiwan go kikubwa zaidi. Nchi hiyo imetawaliwa na Rais Robert Mugabe tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1980.

Onesha makala zaidi