1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Ziara ya Putin nchini China, inatazamwa vipi na wajuzi?

John Juma
16 Mei 2024

Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenyeji wake Rais Xi Jinping wa China wamekubaliana kuimarisha "ushirikiano mpana na wa kimkakati". Je ushirikiano huo unamaanisha nini?

https://p.dw.com/p/4fxDR