1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yafunga kamera za usalama

Grace Kabogo
15 Januari 2018

Serikali ya Zanzibar imefunga kamera za ulinzi na usalama aktika mji wa Unguja kwa lengo la kupunguza uhalifu pamoja na matukio ya kiharamia yaliyowahi kutokea katika miaka ya nyuma.

https://p.dw.com/p/2qrek