Zanzibar kufanyia mabadiliko katiba | Matukio ya Afrika | DW | 30.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Siasa Zanzibar

Zanzibar kufanyia mabadiliko katiba

Serikali ya Zanzibar imefanyia mabadiliko katiba ili kutoa uwezo kwa Rais wa Zanzibar kuteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi bila kushauriana na kiongozi wa kambi ya upinzani ndani ya baraza la wawakilishi.

Sikiliza sauti 03:09

Ripoti ya Salma Said kutoka Zanzibar

                            

Sauti na Vidio Kuhusu Mada