1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Yennenga: Mhenga wa watu wa Mossi Burkina Faso

Yusra Buwayhid
14 Januari 2021

Yennenga hakuwa bintimfalme wa kawaida, alikuwa ni shujaa wa kivita na mwenye uzowefu mzuri wa kuendesha farasi. Ujasiri wake umechangia pakubwa katika kujenga utambulisho wa Burkina Faso.

https://p.dw.com/p/3ntbl