1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wito watolewa Uganda uchunguzi ufanywe dhidi ya mkasa wa moto Makerere

22 Septemba 2020

Wadau mbalimbali wanaitolea wito serikali ya Uganda kufanya uchunguzi kubaini chanzo cha moto uliounguza sehemu ya chuo kikuu cha Makerere. Aidha wanataka ukarabati ufanywe haraka kwa chuo hicho ambayo wanasema ni fahari yao. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi

https://p.dw.com/p/3isyv