Wazanzibari watilia shaka Muungano | Matukio ya Afrika | DW | 26.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Wazanzibari watilia shaka Muungano

Wazanzibari wapatao 40,000 wanaripotiwa kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki wakihoji uhalali wa Muungano wa mwaka 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania.

Sikiliza sauti 03:02

Mahojiano na Rashid Salim Adiy

DW imezungumza na mmoja wa wawakilishi wa walalamikaji kwenye shauri hilo, Rashid Salim Adiy, kutaka kuujuwa undani wa madai yao.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada