Watumia mbwa kukabiliana na upweke. | Media Center | DW | 17.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watumia mbwa kukabiliana na upweke.

Nchini Uganda wataalamu wameamua kutumia mbwa kuwasaidia watu walioathirika na msongo wa mawazo. Urafiki kati ya mbwa na mwathirika huwawezesha kukabiliana na maradhi hayo na kuchukuliwa kama tiba mbadala. Je, kama unasumbuliwa na tatizo hili ama unyanyapaa, unaweza kumfanya mbwa kuwa rafiki yako wa karibu? Papo kwa Papo: 17.04.2018.

Tazama vidio 03:39
Sasa moja kwa moja
dakika (0)