1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 30 wauawa Libya kwa mabomu ya ardhini

18 Juni 2020

Wizara ya afya nchini Libya imesema kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa kutokana na mabomu yaliyotegwa ardhini na wengine 60 kujeruhiwa, wengi wao wakiwa raia.

https://p.dw.com/p/3dzbS