1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wasaidia kupunguza ajali barabarani

25 Oktoba 2018

Ajali za barabarani zimekua ni tatizo la muda mrefu nchi za afrika mashariki. Visiwani Zanzibar askari wa usalama wa barabarani na wadau wengine wanajitolea kupita katika shule na kusambaza elimu ya kuvuka barabara kwa kuwapa wanafunzi wadogo elimu ya trafiki.

https://p.dw.com/p/37Cko