Watoto wa miaka 5-10 washiriki tamasha la urembo Uganda | Media Center | DW | 31.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watoto wa miaka 5-10 washiriki tamasha la urembo Uganda

Angalia vidio hii ya mashindano ya Bi mdogo wa Uganda yaani ‚Little Miss Uganda‘ ambapo watoto wa kike wenye umri wa miaka 5 hadi 10 walishiriki kuonyesha vipaji vyao katika mavazi ya kitamaduni ya kimagharibi, muziki na dansi. Kwa mujibu wa waandaaji na wazazi wa washiriki, hii ni njia moja ya kujenga ujasiri wa watoto, ndoto na matarajio katika maisha yao ya baadae.

Tazama vidio 02:22
Sasa moja kwa moja
dakika (0)