Watetezi wa haki wakosoa polisi Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 05.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Watetezi wa haki wakosoa polisi Kenya

Mashirika ya kutetetea haki za binadamu yamelaani mauaji ya vijana wawili yaliyofanywa na maafisa wa polisi hivi majuzi nchini Kenya, yakisema yanakusanya ushahidi kuwafungulia mashtaka maafisa hao.

Sikiliza sauti 02:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi

         

Kenia Nairobi (DW/S. Wasilwa)

Daniel Onyango, mkazi wa Eastleigh walikouliwa vijana wawili na polisi, ataka polisi wazingatie sheria

     

Kenia Nairobi (DW/S. Wasilwa)

George Morara, naibu mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Kenya, katika mahojiano na mwandishi wa DW, Shisia Wasilwa

  

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com