1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yapiga kura katika uchaguzi usiyo na upinzani

29 Oktoba 2025

Raia wa Tanzania wamepiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais, wabunge na madiwani, ambapo rais wa sasa Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kushinda bila ugumu baada ya wapinzani ama kususia au kuzuwiwa.

https://p.dw.com/p/52jHY