Wasiojulikana wachoma nyumba Tumbatu | Matukio ya Afrika | DW | 01.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wasiojulikana wachoma nyumba Tumbatu

Nyumba kadhaa zimetiwa moto kisiwani Tumbatu, Zanzibar, usiku wa kuamkia Ijumaa. Wakati polisi wakiendelea na upelelezi, mtu ambaye duka lake limechomwa amezungumza na DW kuhusu yaliyotokea.

Sikiliza sauti 02:15
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Msikilize Machano Hajji akielezea duka lake lilivyochomwa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada