1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasichana wanavyokimbilia kazi za ndani Uarabuni

4 Agosti 2021

Nchini Uganda wasichana kati ya 300 na 500 huondoka kila siku kwenda nchi za Mashariki ya Kati kufanya kazi za ndani na zaidi ya makampuni 216 yamesajiliwa rasmi kuendesha biashara ya kuwapeleka kwenye nchi hizo. Wengi wa wasichana hawa wanasema wanakimbilia huko kutokana na ugumu wa maisha Uganda hata kwa wale waliohitimu elimu ya juu. Video na Lubega Emmanuel. Kurunzi wanawake 04.08.21

https://p.dw.com/p/3yY2L