1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanyamapori Kenya wako matatani

13 Novemba 2018

Wakaazi wa eneo la Parkishon jimboni Marsabit nchini Kenya, wanatishia kuwaua wanyamapori ambao wanadai wanawakosesha usingizi kwa kuwavamia kila mara na sasa wanaitaka serikali kufanya mipango ya kuwahamishia katika hifadhi nyingine.

https://p.dw.com/p/38BTY