Wanawake Zanzibari kuwania uongozi katika uchaguzi mwakani | Media Center | DW | 13.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanawake Zanzibari kuwania uongozi katika uchaguzi mwakani

Mwaka 2020 kutaandaliwa uchaguzi Tanzania bara ambao utaishirikisha Zanzibar pia. Wanawake kutoka Zanzibar wamejitokeza kimasomaso kutangaza kuwa watakuwa miongoni ma watakaokuwa wanapigania nafasi za uongozi katika uchaguzi huo. Si jambo la kawaida na ndio maana Salma Said anawaangazia katika makala yafuatayo ya Wanawake na Maendeleo.

Sikiliza sauti 09:44