Wanawake wajitosa katika ujasiriamali | Masuala ya Jamii | DW | 27.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Wanawake wajitosa katika ujasiriamali

Shughuli za ujasiriamali zimeshika kasi visiwani Zanzibar. Mwandishi wetu Khatib Mjaja anasema kundi la wanawake na wasichana hawako nyuma kuchangamkia nafasi hizi.

Sikiliza sauti 09:46

Sikiliza makala ya Wanawake na Maendeleo

Bimvua Omar Dawa, mkazi wa kijiji cha Majenzi Micheweni, Zanzibar, aliwashangaza Wajerumani kwa umahiri wake wa kusuka mikoba.

Kwake yeye shughuli za ujasiriamali ni fursa adimu zinazompatia manufaa makubwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com