1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Marasabit wajitolewa kukomesha makabiliano ya kikabila

Michael Kwena28 Julai 2021

Migogoro katika jimbo la Marsabit nchini kenya imekuwa ikihushuhudiwa kwa miongoo kadhaa sasa na mara nyingi,wanaume wamekuwa wakilaumiwa kuendeleza hali hii ambayo imepelekea mamia ya watu kuuawa kila machafuko ya kikabila yanapozuka. Makala ya wanawake na Maendeleo yanamulika juhudi za wanawake kutoka jimbo la Marsabit ambao wamejitolea kuhakikisha amani inadumu na vita vinakoma.

https://p.dw.com/p/3yC9v