1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Walimu Syria watumia mtandao kufundisha

Amina Mjahid
9 Aprili 2020

Katika nchi iliyokumbwa na vita ya Syria kwa takribani miaka 9, walimu wanaendelea na masomo kwa njia ya dijitali. Wanatumia Telegram na WhatsApp kuwatumia masomo wanafunzi. #kurunzi.

https://p.dw.com/p/3aidK