JamiiWafungwa wahitimu chuo kikuu Uganda23.03.201823 Machi 2018Kwa mara ya kwanza, kumefanyika mahafali kwa ajili ya wafungwa wa gereza la usalama wa hali ya juu la Luzira. Baadhi ya wahitimu ni watu waliohukumiwa kifungo cha maisha. Hii ni kuonyesha wafungwa ni sehemu ya jamii.https://p.dw.com/p/2uq5zPicha: DW/E. LubegaMatangazoJ2.23.03.2018Uganda inmates graduation - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio