1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wafanyabiashara wadogowadogo Kenya wanufaika na mikopo kwa njia ya simu

Bruce Amani/Julia Mielke3 Julai 2015

Kitu pekee kinachowazuia watumiaji wa Mpesa, ni viwango vya riba ya mikopo. Miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa huduma ya Mshwari, idadi ya watumiaji imeongezeka kutoka 0 hadi milioni 10.

https://p.dw.com/p/1FsCr

Kati ya Wakenya milioni 38, milioni 15 hutumia Mpesa, na katika miaka mitatu iliyopita, thuluthi mbili ya watumiaji wa Mpesa wamekuwa watumiaji wa Mshwari.