1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waafrika wawili ambao ni wabunge Ujerumani

Harrison Mwilima5 Februari 2021

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia waafrika wawili walioingia kwenye ulingo wa siasa nchini Ujerumani, ambao sasa ni wabunge katika bunge la Ujerumani. Makala imeandaliwa na Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3ovAk