1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viwanda vya matofali vinavyotumia vumbi badala ya mchanga

Salma Said11 Februari 2022

Kasi ya ujenzi na kuimarisha miundombinu na makaazi ya watu inazidi kuongezeka visiwani Zanzibar hadi kusababisha upungufu wa mchanga. Makala ya Mtu na Mazingira inatizama athari za kiafya na kimazingira zitokanazo na viwanda vya utengenezaji matofali vinavyotumia vumbi badala ya mchanga. Msimulizi ni Salma Said.

https://p.dw.com/p/46sQ6