Viongozi wajaribu kutuliza hali DRC | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Viongozi wajaribu kutuliza hali DRC

Gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Julien Paluku, ametembelea eneo la kusini mwa wilaya ya Lubero kumaliza mzozo baina ya makabila ya Nande na Hutu uliosababisha vifo vya watu kadhaa.

Sikiliza sauti 02:41

Sikiliza ripoti ya John Kanyunyu kutoka DRC

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com