1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Afrika wazindua mpango wa soko huria

8 Julai 2019

Hivi Karibuni viongozi wa nchi za afrika walizindua rasmi mpango wa soko huria la bara zima, wakiutaja kuwa hatua ya kihistoria, katika juhudi za kuukwamua uchumi wa bara hiyo la kuimarisha sauti yake katika biashara ya dunia. Lakini wachambuzi wana wasiwasi. Sikiliza mahojiano haya kati ya Prof. Honest Ngowi, mchambuzi wa masuala ya uchumi nchini Tanzania na Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/3LlOn