Viongozi wa NASA waweka mikakati | Matukio ya Afrika | DW | 05.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kenya

Viongozi wa NASA waweka mikakati

Vinara wa muungano wa upinzani wa NASA wanakutana kulishughulikia suala la umoja wakati madai ya usaliti yakiwaandama baadhi yao. Ajenda ya kikao inajikita katika mbinu za kusaka haki za kidemokrasia.

Sikiliza sauti 02:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi

               

Sauti na Vidio Kuhusu Mada