1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wana nafasi muhimu uchaguzi Kenya

5 Julai 2017

Vijana wanawatolea wito wagombea wa urais kuwashirikisha katika mipango yao wakati ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC, ikisema karibu vijana milioni 9 wamejiandikisha kupiga kura uchaguzi wa Agosti 8.

https://p.dw.com/p/2fyxs
Vijana Kenya katika mahojiano
Picha: DW/M. Khelef

J3: 05.07.2017 Youth and Vote in Kenya - MP3-Stereo