Vijana wa Kombgreen watengeneza bustani Korogocho-Nairobi | Uchumi na mazingira | DW | 02.11.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchumi na mazingira

Vijana wa Kombgreen watengeneza bustani Korogocho-Nairobi

Kundi la Kombgreen linaloundwa na vijana ambao zamani walikuwa wahalifu katika mtaa wa Korogocho jijini Nairobi, wameweka juhudi zao pamoja na kutengeneza bustani kwenye kingo za mto Nairobi. Bustani hiyo iliyo karibu na daraja la Korogocho, hivi sasa ni kivutio kwa watu wengi wanaotaka kujipumzisha. Sikiliza makala hii ya Mtu na Mazingira iliyotengenezwa na Thelma Mwadzaya.

Sikiliza sauti 09:45