Vijana na itikadi kali, kulikoni? | Masuala ya Jamii | DW | 14.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Vijana na itikadi kali, kulikoni?

Kwenye makala ya Vijana Tugutuke, Fathiya Omar amekutana na vijana wa mji wa Mombasa, ili kujadili kuhusu suala tete linalotishia amani katika eneo hilo la itikadi kali. Anajadiliana na vijana kwa kuwa wao ni miongoni mwa waathirika wakubwa katika eneo hilo. Wasikilize hapa.

Sikiliza sauti 09:47