VERACRUZ:Kimgunga Dean chaifikia Mexico lakini kimepungua nguvu | Habari za Ulimwengu | DW | 23.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

VERACRUZ:Kimgunga Dean chaifikia Mexico lakini kimepungua nguvu

Kimbunga Dean kimeifikia Mexiko kwa mara ya pili kikiwa na mwendo wa kilometa 160 kwa saa katika jimbo la Veracruz mashariki mwa mexico.

Kimbunga hicho kiliukumba mji wa Tecolutla baada ya kupungua nguvu kwenye peninsula ya Mexico ambapo kiliyakumbuka majukwaa ya kuzalishia mafuta na gesi. Lakini dhoruba hiyo haikuleta madhara makubwa kama jinsi ilivyohofiwa hapo awali.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com