1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uteuzi wa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

Angela Mdungu
1 Machi 2021

Wazanzibari wamepokea vipi uteuzi wa Makamu wa kwanza wa Rais, Mhe. Othman Masoud anayeziba nafasi ya hayati Maalim Seif? Hawa hapa ni baadhi ya Wazanzibari waliozungumza na DW baada ya uteuzi huo. Video na Salma Said.

https://p.dw.com/p/3q4La