1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata, upungufu wa ARV nchini Kenya

John Juma
29 Aprili 2021

Utata kuhusu upungufu wa dawa za kupambana na makali ya virusi vya ukimwi nchini Kenya unaendelea huku rais Uhuru Kenyatta akifanya mabadiliko kwenye taasisi inayosimamia ununuzi na usambazaji wa vifaa vya matibabu nchini humo KEMSA, inayohusishwa na utata huo. Mwaathirika wa VVU Juliet Akinyi na mwanaharakati Cidi Otieno walizungumza nasi. Msikilize kwanza Julie.

https://p.dw.com/p/3slFz