Ushiriki katika siasa - Kipindi 2 –Ndoto yangu05.04.20115 Aprili 2011Huko shuleni Betty anatangaza kuwa anataka kuanzisha kundi la kwaya. Samuel anatangazwa kuwa nahodha wa timu yake ya soka. Eveline anamwambia baba yake kuwa anataka kuwa mwanasiasa mahiri.https://p.dw.com/p/QgMaMatangazo