Upinzani una nafasi gani katika uchaguzi wa Oktoba Tanzania? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Upinzani una nafasi gani katika uchaguzi wa Oktoba Tanzania?

Vyama vya upinzani Tanzania vya ACT-Wazalendo na Chadema tayari vimewaidhinisha wagombea wao wa Urais. Bernard Membe ataipeperusha bendera ya chama hicho huku Tundu Lissu akichaguliwa kuiwakilisha Chadema katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba 28. Je, upinzani utakuwa na nafasi gani katika uchaguzi mkuu huo? Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa Tanzania Marcel Hamduni.

Sikiliza sauti 03:05