Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi | Matukio ya Afrika | DW | 03.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Upinzani DRC baada ya kifo cha Tshisekedi

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiendelea na maombolezo ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Etienne Tshisekedi, kunatarajiwa kuwepo na mtikisiko kwa upande wa upinzani.

Sikiliza sauti 03:17

Mahojiano na mchambuzi Valentine Mubake

Hii ni baada ya kuondoka kwa kinara huyo aliyekuwa pia msimamizi wa makubaliano ya mgogoro wa kisiasa kati ya upinzani na serikali. DW imezungumza na msemaji wa chama cha UDPS, Valentine Mubake, kuhusiana na mustakabali wa chama chao baada ya kifo cha Tshisekedi.  
 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada