Upinzani Congo wapata saini za kupinga mabadiliko ya uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 28.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Upinzani Congo wapata saini za kupinga mabadiliko ya uchaguzi

Upinzani Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo umesema umekusanya saini za kutosha za kuwawezesha kupinga mahakamani, mageuzi yaliyofanyiwa sheria ya uchaguzi wanayodai inauongezea nguvu muungano wa vyama vinavyoshiriki katika serikali inayoongozwa na Rais Joseph Kabila. Lilian Mtono amezungumza nambunge wa chama kikuu cha upinzani UPDS, Valentine Mubake.

Sikiliza sauti 03:11