1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi mustakhbali wa serikali ya Ufaransa?

Josephat Charo
14 Oktoba 2025

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amevishutumu vyama hasimu vya kisiasa kuchochea ukosefu wa utulivu na uthabiti kwa kumyumbisha na kumdhoofisha Waziri Mkuu aliyemteua Sebastien Lecornu. Ahmed Saleh mchambuzi wa siasa wa mjini Paris.

https://p.dw.com/p/51uF2