1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unyonyeshaji maziwa ya Mama Uganda wakumbwa na changamoto

Sylvia Mwehozi
20 Agosti 2018

Kumeibuka mjadala na utata mkubwa miongoni mwa Waganda hasa wanaume wanaonyonya maziwa ya mama sambamba na watoto wao. Unaweza kuamini kwamba akina baba wanagombania maziwa ya mama? Papo kwa Papo 20.08.2018.

https://p.dw.com/p/33R2i